Discover Excellence

Wewe Ni Mungu Wa Wote Kwaya Ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni Bmm

wewe Ni Mungu Wa Wote Kwaya Ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni Bmm
wewe Ni Mungu Wa Wote Kwaya Ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni Bmm

Wewe Ni Mungu Wa Wote Kwaya Ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni Bmm Mungu wetu ni mungu wa huruma, ni mungu wa wote. tukumbuke kumkimbilia yeye wakati wote.karibu uutazame wimbo huu mzuri ulioandaliwa na wanakwaya wa bmm ujew. Ilikuwa ni tarehe mosi, novemba 1950, katika maadhimisho ya mwaka mtakatifu, papa pio wa kumi na mbili katika waraka wake wa kitume “munificentimus deus” yaani “mungu mkarimu” alipotangaza kwamba, “bikira maria, mama wa mungu ambaye daima ni bikira, amepalizwa mbinguni mwili na roho baada ya kuhitimisha safari yake ya hapa duniani” kuwa ni fundisho tanzu la imani ya kanisa katoliki.

Mafarakano kwaya ya bikira maria Aliyepalizwa mbinguni Parokia yaођ
Mafarakano kwaya ya bikira maria Aliyepalizwa mbinguni Parokia yaођ

Mafarakano Kwaya Ya Bikira Maria Aliyepalizwa Mbinguni Parokia Yaођ Bikira maria ni mama wa mungu na kanisa. kwa maneno mengi yesu baada ya kumaliza kazi ya ukombozi alipewa tuzo na mungu baba (tuzo la kufufuka, kupaa mbinguni na kuketi kuume kwa baba). tuzo hili hakulipata bure bure alilipata baada ya kumkomboa mwanadamu kwa mateso, kifo na ufufuko wake. kadhalika, bikira maria alishiriki kazi ya ukombozi wa. Sherehe hii ya kupalizwa mbinguni mama bikira maria, haipatikani moja kwa moja kwenye maandiko matakatifu, bali ni matunda ya mapokeo ya kanisa ambayo ni mahubiri ya mitume, mababa wa kanisa na imani ya wakristo wa kwanza, lakini msingi wake umo ndani ya maandiko matakatifu na tunaalikwa daima kuyaamini mafundisho haya na kuyaishi kwa sababu mapokeo pia ni moja ya hazina ya neno la mungu. Karibu utazame wimbo huu mzuri wa tafakari uitwao faraja ipo. pia kufanyiwa video hii nzuri na kampuni ya bm productions (mwanza)wimbo: faraja ipomtunzi: piu. Siku kuu ya bikira maria kupalizwa mbinguni mwili na roho! mpendwa mwana wa mungu, leo mama kanisa anaadhimisha sherehe ya bikira maria kupalizwa mbinguni mwili na roho. ni zawadi kwa mama bikira maria anayokabidhiwa mwishoni mwa maisha yake hapa duniani. sherehe hii huja kila tarehe 15 ya mwezi wa nane kadiri ya kalenda ya kilturujia ya kanisa.

Comments are closed.