Discover Excellence

A Z Kilimo Cha Migomba Kuandaa Shamba Hadi Kupanda

a Z Kilimo Cha Migomba Kuandaa Shamba Hadi Kupanda Youtube
a Z Kilimo Cha Migomba Kuandaa Shamba Hadi Kupanda Youtube

A Z Kilimo Cha Migomba Kuandaa Shamba Hadi Kupanda Youtube Kabla hujaanza kilimo cha migomba sharti utazame video hii ili kujifunza kanuni muhimu za kuzingatia.unaweza pia kuagiza kitabu cha kilimo cha migomba kwa wh. Maeneo yanayolima migomba. nchini tanzania mikoa inayoshughulika na kilimo cha migomba na kuzalisha ndizi kwa wingi ni pamoja na kagera, kilimanjaro, mbeya, arusha, manyara, mara, tanga, morogoro, kigoma, na pwani. hata hivyo zao la ndizi linaendelea kuenea katika mkoa mingine nchini ikiwa ni pamoja na dar es salaam, mwanza, ruvuma, shinyanga.

kilimo cha migomba Ndizi Kisasa 2021 Mogriculture Tz
kilimo cha migomba Ndizi Kisasa 2021 Mogriculture Tz

Kilimo Cha Migomba Ndizi Kisasa 2021 Mogriculture Tz Layout 1. brodhure 7 18 06 8:55 am page 1. utunzaji wa shamba na mimea. (a) kazi hii ni vyema ikafanywa mara baada ya kupanda kama inawezekana. matandazo yawe ni makavu na unene wa sentimeta 15 ili kuhifadhi unyevu, kuzuia magugu na yakioza yataongeza mbolea. Kilimo bora cha migomba ndizi. migomba huzaa zao ambalo huitwa ndizi, ndizi huliwa kwa kupikwa, kukaushwa, kuvundikwa au kwa kusangwa na kutengeneza unga wake. migomba mara nyingi haiitaji mbegu kupanda, hupandwa kwa kutumia sucker, hivi ni ni vimigomba vidogo ambavyo vinakua pembeni, inatakiwa kuchukua watoto wenye urefu wa 1 2 na ikiwa na. Maeneo yanayolimwa migomba tanzania. nchini tanzania mikoa inayoshughulika na kilimo cha migomba na kuzalisha zao la ndizi kwa wingi ni pamoja na kagera, kilimanjaro, mbeya, arusha, manyara, mara, tanga, morogoro, kigoma, na pwani. hata hivyo zao la migomba linaendelea kuenea katika mkoa mingine nchini ikiwa ni pamoja na dar es salaam, mwanza. Kilimo cha migomba kina faida nyingi, baadhi ya faida za migomba na zao la ndizi ni: –. zao la chakula na la biashara. kutengenezea pombe pamoja na kulisha mifugo. kutengenezea mbolea (mboji) matandazwa shambani (mulch), kutoa kivuli, na kutoa nyuzi. kutengenezea vitu vya sanaa pamoja na kamba. malighafi ya kutengeneza vyakula na vinywaji.

Comments are closed.